Queen sasha
Member
- Nov 9, 2016
- 17
- 18
Natafuta kazi yoyote yenye kipato cha halali. itakayo weza kunisaidia kumudu mahitaji yangu
Nina Diploma ya Development Planning
Nina Diploma ya Development Planning
Nipo DodomaUpo wap
Na kazi ungependela kufanya wapi? Upo tayari kufanya nje ya Dodoma?Nipo Dodoma
Napendelea Dodoma na mikoa ya karibu alafu kuhusu nje ya Dodoma kama mkoa gani?Na kazi ungependela kufanya wapi? Upo tayari kufanya nje ya Dodoma?
Sent from mTalk
Iringa?Napendelea Dodoma na mikoa ya karibu alafu kuhusu nje ya Dodoma kama mkoa gani?