sabyzoo
Member
- Sep 28, 2016
- 7
- 16
Mambo vp wadau nomeona nitumie fulsa ya Uzi huu kutafuta kibarua maana maisha ya mtaa yamekaba baraa Mimi ni kijana wa miaka 28 naish dar natafta kibarua cha kujikim na maisha nimeangaika kwa muda mrefu pasipo mafanikio kwa ufupi nina experience ya kufanya kazi bank miaka miwili ambapo ilikua ni project baada ya hapo nikaamua kujiajiri kupitia Kilimo cha Kitunguu nilianza vizuri tu kwa kutengeneza faida nzuri na kuamua kuoa lakini mwaka huu nimepata hasara kubwa ktk Kilimo almost 10 mil. So wandugu Niko na hali mbaya nahitaji pakujishikiza