octaviankweka
Member
- Oct 17, 2015
- 92
- 33
Habari ndugu zangu wapendwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, nimemaliza diploma ya records and archives management,chuo cha utumishi wa umma, natafuta kazi yoyote inayoendana elemu niliyo nayo apo juu, sio lazima sana kuajiriwa na iyo taaluma ata kama ntapata kazi nyngne