Natafuta Kazi

Mh!

Hii balaa.

Mama unajisogeza mwenyewe kwenye mdomo wa mamba?

Humu sio mahala sahihi sana pa kuelezea shida zako, watu wako humu kuangalia udhiafu wa.watu na kuutumia kuwaumiza au kutimiza malengo yao.

Pia hili sio jukwaa la kazi. Pole sana.

Hata hao wenye nia ya kukusaidia/wasamaria wema wangependa kujua sifa zako au taaluma yako ili wajue wanaanzia wapi. Jieleze ila uwe makini sana.
 
Wengine matapeli mkuu wanatumia kigezo hicho wanajua watawapata wengi wanume wa kwere
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom