Natafuta kazi

Natafuta kazi

mama kaja

New Member
Joined
Feb 26, 2016
Posts
2
Reaction score
1
Habar,mie ni msichana wa miaka 20 mwenyeji wa arusha kwa sasa Niko dar natafuta kazi ya kuuza duka, naomba unisaidie namba ya kunipata ni 0769456582
 
La vyakula au hata m pesa?
Mshahara kama bei gani?
 
Una majukumu? Namaanisha familia inayokutegemea? Kama huna najua hutaniibia sana naweza kukuajiri but uwe unauwezo wa kupanda gari moja kuja sinza sio mawili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom