Natafuta kazi za umeme

Natafuta kazi za umeme

Electrician j

New Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habari za mida wapendwa

Naitwa Jovin, napatikana Musoma Mjini. Nina umri was miaka 23 Nina elimu ya Level 3 ya Electric Installation natafuta kazi za Umeme wa majumbani au magorofani na viwandani

Atakae niitaji mawasiliano no 0683648451 au email jovin.daud@yahoo.com

Kazi njema wapendwa
 
Back
Top Bottom