Habari wadau wa JF
Elimu yangu kidato cha nne, nimesoma coz za Computer, uzoefu ninaowakutosha sababu nimefanya kazi za stationary kwamiaka mitatu sasa, office niliokua nikifanya kazi boss wangu kahama mkoa office kauza alowauzia wamebadiri biashara, hivyo kwa sasa cjapata kazi nyingine nipo nyumbani.
Kwa atakaeguswa na ombi langu
Mawasiliano Yangu: 0754 688 652