S s_faith Member Joined Oct 29, 2014 Posts 9 Reaction score 4 Dec 15, 2014 #1 Mimi ni msichana wa miaka 24,,ninatafuta kazi za ndani dar rs salam,,,aliyetayari anitafute kwa namba 0769456582
Mimi ni msichana wa miaka 24,,ninatafuta kazi za ndani dar rs salam,,,aliyetayari anitafute kwa namba 0769456582
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,806 Dec 15, 2014 #2 All the best Dada yangu. Mungu akujaalie sawa na mahitaji yako
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,456 Reaction score 36,471 Dec 15, 2014 #3 Wewe ni mwenyeji wa wapi, Unaishi wapi na ukifanya nini kwa sasa? Je ulishawahi kufanya hizo kazi? Mshahara wako unategemea uwe shs ngapi?
Wewe ni mwenyeji wa wapi, Unaishi wapi na ukifanya nini kwa sasa? Je ulishawahi kufanya hizo kazi? Mshahara wako unategemea uwe shs ngapi?
S s_faith Member Joined Oct 29, 2014 Posts 9 Reaction score 4 Dec 16, 2014 Thread starter #4 Vizuriii sana kaka umeonyesha umebeba nin kweny kichwa chako
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,806 Dec 16, 2014 #5 Sio vizuri mnachofanya, sio lazima kucomment. Mtu anajitafutia riziki mnakuja na maneno ya ajabu ajabu. Heshimuni wenzenu
Sio vizuri mnachofanya, sio lazima kucomment. Mtu anajitafutia riziki mnakuja na maneno ya ajabu ajabu. Heshimuni wenzenu
N Ndege Tausi JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 992 Reaction score 476 Dec 16, 2014 #7 Ukiitwa kufanya kazi mikoani, nje ya dar je utakubali?
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,416 Reaction score 21,813 Dec 16, 2014 #8 Kuna mtu anatafuta hapa hapa jukwaani.. hebu zungumza nae
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,512 Dec 17, 2014 #9 Mbimbinho said: Sio vizuri mnachofanya, sio lazima kucomment. Mtu anajitafutia riziki mnakuja na maneno ya ajabu ajabu. Heshimuni wenzenu Click to expand... acha umbwiga uliona wapi BEKI 3 akijinadi humu mtandaoni???
Mbimbinho said: Sio vizuri mnachofanya, sio lazima kucomment. Mtu anajitafutia riziki mnakuja na maneno ya ajabu ajabu. Heshimuni wenzenu Click to expand... acha umbwiga uliona wapi BEKI 3 akijinadi humu mtandaoni???
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,512 Dec 17, 2014 #10 mama D said: Wewe ni mwenyeji wa wapi, Unaishi wapi na ukifanya nini kwa sasa? Je ulishawahi kufanya hizo kazi? Mshahara wako unategemea uwe shs ngapi? Click to expand... mama d unaingizwa mkenge. mpigie simu si ameweka hapo? kisha wajulishe jf anchosema ni kwelii? magumashhhh
mama D said: Wewe ni mwenyeji wa wapi, Unaishi wapi na ukifanya nini kwa sasa? Je ulishawahi kufanya hizo kazi? Mshahara wako unategemea uwe shs ngapi? Click to expand... mama d unaingizwa mkenge. mpigie simu si ameweka hapo? kisha wajulishe jf anchosema ni kwelii? magumashhhh