ms babysitter
Member
- Nov 2, 2014
- 55
- 5
sasa unaonaje nikiwa dada wa hako katoto? mimi bado sina mtoto
unataka kuja na kuondoka au kukaa kwa mwajiri kabisa
unataka kuja na kuondoka au kukaa kwa mwajiri kabisa
Sawa nakusubiriOh yeah nadhani utakuwa dada mzuri tu wewe.
Ngoja nije PM tulonge zaidi. Au wasemaje?
hilo haliwezi kutokea coz i always take my job very seriouslyUkipata kazi hiyo Jamii forum utapumzika isije ikakusaharusha kuwapa madogo uji wa lishe
kwani upo mkoa gani? we can negotiate.........Daah! Nahitaji mfanyakazi wa ndani ila changamoto ni kwamba upo fixed kufanya kazi Dar peke yake na umri wako mmetofautiana miaka miwili tu na wife, sina uhakika kama wife atakuwa comfortable na uwepo wako.
Vinginevyo ungefaa sana kutusaidia kazi chache za nyumbani, nakutakia mafanikio mema.
Hahaaa mkuu bajeti inakubana nini mbona kuuliza maswaki haya
kwani upo mkoa gani? we can negotiate.
Ngoja nikutafutie wenye kuhitaji kwa huku Zanzibar.Mimi ni dada miaka 24 natafuta kazi za ndani kwa mkoa wa dsm.
Nina uwezo wa kufanya kazi zote za nyumbani ikiwa ni pamoja na kulea watoto kama watakuwepo.
Kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane na mimi kupitia pm.
Aisee hicho kizungu tu chenyewe credit tosha,hapo mshahara lazima uendani na credit hiyo
Mi nakuhitaji nipigie pse 0657626995
Mimi ni dada miaka 24 natafuta kazi za ndani kwa mkoa wa dsm.
Nina uwezo wa kufanya kazi zote za nyumbani ikiwa ni pamoja na kulea watoto kama watakuwepo.
Kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane na mimi kupitia pm.