maushi isaac
Member
- Feb 6, 2018
- 13
- 1
Nipo Dar es Salaam natafuta kazi za ict kwa yeyote atakaye fahamu asisite kunitaarifu
nina diploma kakaUna level gani ya elimu weka cv hapa.
Vp hujasoma somo la entrepreneurship
information computing technology yaan technologia ya habari na mawasilianoo kakaumesomea nini..!!!
nina diploma kaka
sidhani kama atapenda huu ushauri wako; vijana wengi wanataka vitu vyepesi vyepesi hivi vya kufikirisha hawavitaki kabisa. maana umemwambia akasome atakwambia hana ada wakati elimu ipo kwenye mitandao si lazima ukae darasani tena.Sasa si ujiajiri au ulichokisoma hukukielewa vizuri? Hata kutengeneza vi blog au vi websites hujui? Yaani na diploma yako unashindwa hata na mirarld Ayo na form four yake? .. kuwa innovative hizi social networks zote ni pesa hizi! Blog pesa youtube pesa websites pesa Facebook pesa!!.. teknolojia ipo upanda wako changamka kijana acha hizo fikra za kizee za kuajiriwa
What can you offer in IT industry?Nipo Dar es Salaam natafuta kazi za ict kwa yeyote atakaye fahamu asisite kunitaarifu
nipigie 0762 277557Nipo Dar es Salaam natafuta kazi za ict kwa yeyote atakaye fahamu asisite kunitaarifu
elimu yako.....uzoefu...Nipo Dar es Salaam natafuta kazi za ict kwa yeyote atakaye fahamu asisite kunitaarifu
Haya Bana!Kazi ya ICT ndio kazi gani? Ukijitambua ni rahisi kusaidiwa,tatizo lako ww bado hujajitambua unajua nini .Zama za kupata kazi sababu ya cheti zishapitwa na wakati.
ICT unajua nini? Programming,Network,Database,System analyst,developer au upo kwenye group la wale "MIMI NAJUA JUA",wakati ulimwengu huu unawataka watu wanaojua HASWA na si kubahatisha.
Ndio ukweli wenyewe japokuwa mchungu,wenzake waliojitambua tokea wapo vyuoni nina uhakika kazi washapata,demand ya watu wa IT WANAOJUA HASWA ni kubwa sana na hamna fani yenye ajira nyingi na malipo makubwa kama ya IT endapo ukijitambua mapema.Haya Bana!