Mimi kijana mwenye miaka 24 niña elimu ya forma 4 natafuta kazi yeyote gente maslahi yakuniwezesha mimi kuendesha maisha iwe ya nyumbani hotelini su viwandani
Mimi kijana mwenye miaka 24 niña elimu ya forma 4 natafuta kazi yeyote gente maslahi yakuniwezesha mimi kuendesha maisha iwe ya nyumbani hotelini su viwandani
kwa kuwa umeileta jukwaa la ujasiriamali inabidi tukushauri ki hivyo anza shughuli yeyote ile iwe ya ufugaji, kulima bustani, kupika chakula unakisambaza (sio lazima uwe na hotel) viji shughuli vipo vingi tu, najua utasema mtaji shida kwa sasa kuna fursa hii ya uchaguzi usilaze damu uwe msimamizi wa uchaguzi msaidizi au karani au vyovyote huwezi kosa Tsh 30,000 hadi 50,000 huo ndo uwe mtaji wako sasa. hizi kazi zinahitaji ushapu wako tu. Na acha kusikia maneno ya uwoga. otherwise uwe mwoga ila nafasi zipo
Hizo nafasi ni za kupeana mi nimetafuta sana na mwisho jana nimeambiwa hivyo kua watu wanapeana kwa kujuana ila sijakata tamaa kesho pia nitatuma wilaya ya temeke kama zipo naomba unripe link tafadhari