Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

vee vivian

Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
25
Reaction score
86
Habari za mda huu,

Wakuu Mimi ni muhanga wa ajira nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu 2017 ngazi ya shahada ya elimu najikita kwenu naombeni mwenye kazi yoyote anisaidie maisha magumu Sana na nitafanya kazi popote mda wote sichagui kazi, mimi ni binti miaka 27.

Asanteni, mwenye kazi yoyote asisite.
 
Hellow
 
Back
Top Bottom