natafutakazi
Member
- Sep 16, 2019
- 26
- 12
Mkuu hizo details umepata wapi wewe au ndyo mambo ya pm, mi sijaona[emoji30]Mbona una umri mdogo sana
Afu elimu yako ni kubwa sana, kulinganisha na umri wako
Mbona mshahara unataka mkubwa sana
Uzoefu wa miaka 8 kazini wote huo, hapo lazima upate
Mkuu hizo details umepata wapi wewe au ndyo mambo ya pm, mi sijaona[emoji30]
Utakuwa na BSc in ALL Profesional Studies.Hongera sana. Ulisoma nchi gani na chuo gani mkuuHabari yenu ndugu mimi ni binti ,nimekuja hapa kutafuta kazi ,nakuakikishia huto juta kuniajiri kwenye kazi yako
Kwakua ni mwaminifu na pia ni mvumilivu
Ila ninacho penda kueshimiwa,na kukosolewa ninapo kosea na kurekebisha makosa
Naamini ukinipata huta juta kwa anae sumbuka na kupata mfanyakazi ake inbox
Tuzungumze vema ila sitaki majaribu
Kama huna kazi Basi pita tu