natafuta kazi yoyote

natafuta kazi yoyote

tobiansez

Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
15
Reaction score
5
Naitwa Thobias Leonard nina umri wa miaka 23, mi nimzima wa afya kabisa. Elimu yangu nina cheti cha Ualimu grade A. Naishi kilimanjaro anaetaka kunipa kazi mi nafanya kazi zote bila kubagua anipate katika Namba hizi 0654541373. 0744620658
18620644_315609012192980_56605282119631498_o.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom