Natafuta kazi yoyote

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,404
Habari za hasubuhi Wana jf Nina miaka 20 mkazi wa Dar es salaam jinsia Men elimu kidato cha 4.

Natafuta kazi yoyote hata mikoani nipo tayari Kwa makubaliano plz naombeni msaada kwa watakao weza asanteni.
 
Hakuna Jinsia ya Men, Me au Ke na kama ulimaanisha English ungesema Male/Female, men ni wanaume wengi
 
Back
Top Bottom