Natafuta kazi yoyote ya halali

Natafuta kazi yoyote ya halali

shubira clemence

New Member
Joined
Mar 27, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Habari za humu?

Naitwa Juster nina miaka 22 nimemaliza diploma in laboratory technology. Nina tafuta kazi ya halali , nina experience ya matron wa shule, na sales pia kuuza dukani, super market, duka la simu naweza kufanya. Kwa mwenye connection za kazi hzo n namba ni 0765689650.

Nina kaa Dar es Salaam Chanika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom