Natafuta kazi yoyote ya halali

Natafuta kazi yoyote ya halali

tupeni

Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
38
Reaction score
16
Habari wapendwa natafuta kazi yoyote ya halali sichagui.

Nina ujuzi wa computer application pia nina elimu ya diploma maendeleo jamii na certificate ya business administration. Isiwatishe elimu sichagui Kazi am ready kama una connection msaada please wapendwa. Ni binti wapendwa.
 
Kifup natafuta KaZ kama kuna MTU ana connection
 
Habari wapendwa natafuta kazi yoyote ya halali sichagui.

Nina ujuzi wa computer application pia nina elimu ya diploma maendeleo jamii na certificate ya business administration. Isiwatishe elimu sichagui Kazi am ready kama una connection msaada please wapendwa. Ni binti wapendwa.
Kuna kazi ya kulea bibi mzee asiyeweza kutembea;kumsafisha na kumlisha.Mshahara laki moja kwa mwezi.Upo tayari?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom