Natafuta kazi yoyote ya halali

Natafuta kazi yoyote ya halali

Joined
Jan 5, 2015
Posts
47
Reaction score
19
Mimi naitwa Rehema naishi Dar, Elimu yang ni Kidato cha nne naomba kwa yeyote anayeweza kunsaidia kupata kazi hasa ya Dukani, Supermarket, Hotelin n. k anipm. Na Mungu awabariki sana sana
 
Hilo jina la Isaya ni la nani? au unamwombea mchepuko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom