Natafuta kazi yoyote ya halali

mdachi mdachi

Senior Member
Mar 9, 2017
107
130
Wassalam wanajamvi

Habari za asubuhi natumai wote ni wazima wa afya na mmemka salama tayari kwajili ya kuyakabili majukumu ya kila siku , jamani me ni kijana mwenye umri wa miaka 24

Natafuta kazi yeyote nitakuwa tayri kufanya ilimrad iwe halali tuu kwa mujibu wa imani yangu na sheria za nchi yetu.

Nmesomea ualimu wa shule za msingi na nmesomea maendeleo ya jamii(certificate in community development)

Nikipata kazi kwenye field yangu ntashukuru sana ila hata nikipata tofauti na field yangu nae khery kwangu

Namba zangu ni.

0625547781

with thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom