Kazi za shamba unaziweza?Mimi ni kijana nina miaka 19 natafuta kazi yoyote ata kama ni kijana wa kazi za ndani za kijana niko tayari kwa kazi yoyote, ata mikoani pia, kwa sa iv nko mwanza kwa mawasiliano 0755995231
mkuu kwenye avatar yako naona "kifaranga kimetaga'Kazi za shamba unaziweza?


