Dogo ongeza Umakini, ukitaka kukutana na Yeyote hakikisha Watu wa Familia yako wana taarifa. Watu mbalimbali watatoa Namba zao uwatafute.
Binadamu Mwema na Mbaya hawatofautiani kwa namba ya simu, Elimu, Kipato, jinsia,Umbo, sauti, sura , dini wala Kabila Bali Roho ambayo sio rahisi kutambua kwa haraka na Muda mfupi!