Natafuta kazi yoyote, Nipo Tegeta

Natafuta kazi yoyote, Nipo Tegeta

Neowadee

Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
20
Reaction score
12
Habari wana JF,

Nahitaji kazi yoyote halali itakayonipatia kipato naahidi kuifanya kwa weredi. Nimesema yoyote nikimaanisha sichagui kazi napitia hali mbaya sana msaada tafadhali. Nipo Dar, Tegeta.

Siwezi kuweka mawasiliano kama kuna anayehitaji anitafute dm ntampatia.
 
Ukiomba kazi hivi huwezi kupata kazi maisha yako yote, specify kazi unayoiweza km usafi sema usafi, km udobi sema udobi, km ufundi sema ufundi, huwezi kufanya kazi yoyote mkuu jielewe unachokitaka usikurupuke,

Sawa umeeleweka
 
Habari wana JF,

Nahitaji kazi yoyote halali itakayonipatia kipato naahidi kuifanya kwa weredi. Nimesema yoyote nikimaanisha sichagui kazi napitia hali mbaya sana msaada tafadhali. Nipo Dar, Tegeta.

Siwezi kuweka mawasiliano kama kuna anayehitaji anitafute dm ntampatia.
Hahaaa!!wewe ndiye muhitaji halafu tena una leta umwamba!!
 
NACHOELEWA KUPATA KAZI NI NGUMU SANA NINA ELIMU MBILI TOFAUTI THE PROBLEM CONNECTION KUNA ENEO UNAACHA WASIFU WAKO WADADA WA RECEPTION ASILIMIA 90 WANA ROHO MBAYA ILA WASIFU WAKO HAUFIKI KWA HR KAMWE LABDA UJIONGEZE KAMATI YA ROHO MBAYA IMEJAA SANA DUNIANI ESPECIALLY WOMEN MOST OF THEM
 
Sasa kama upo tegeta siungeenda pale magereji kazi zipo kibao za ufundi pia mama ntilie na nyingine kibao mdugu mwandish kama kweli ww ni muhitaji wa kazi nendo pale magereji opposite nankibo complex

Over
 
Habari wana JF,

Nahitaji kazi yoyote halali itakayonipatia kipato naahidi kuifanya kwa weredi. Nimesema yoyote nikimaanisha sichagui kazi napitia hali mbaya sana msaada tafadhali. Nipo Dar, Tegeta.

Siwezi kuweka mawasiliano kama kuna anayehitaji anitafute dm ntampatia.
Elimu yako?
 
Unaweza kufanya mauzo ya M-Gas?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom