Natafuta kazi yoyote Morogoro

Inakera na sio vizuri kuleta dhihaka hasa pale mwenzetu anapokuja na jambo linalohitaji msaada.

Kama unaona hauwezi kumsaidia kwa kumpatia kazi au kwa msaada wowote utakaomfaa, bora unyamaze utakua umemsaidia pia kuliko kuandika maneno yasiyo na maana yaliyojaa kejeli.
 
Back
Top Bottom