Ahsante mkuuPole kijana mwenzangu
Ahsante kwa ushauri mkuuumekuwa unipolar miuzi ya malalamiko sana kuhusu wewe kukosa kazi na umemaliza mwaka jana tu ,kuna watu toka 2011 wako mtaani na wanabangaiza kweli kweli halafu kwa nini usiombe hata kufundisha masomo ya science kwa taaluma yako hiyo,kingine kwa nini hukutaka kwenda JKT hii ya juzi waliokuwa wanachagua kila mkoa,/wilaya ukiwa huna kazi unatakiwa kujaribu kufanya fursa yoyote yenye uhusiano na taaluma yako
#ushauri huu aliuchukua mwenzako aliyekaa mtaani miaka mitano hakuamini ila ananiambia kazi ameipata ni permanent and pensionable.
acha kulalamika!
sawa mkuuHELA YA BOOM ULIILA YOTE UNAONA SASA KINACHOKUPATA
Ahsante mkuujiajiri hata kuokota machupa ya maji ni kazi halali pia.
Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako.Nikweli ndugu yangu kuna ugumu sana wa ajira,subiria mwaka mpya wa serekali kutatangazwa ajira nyingi tu hakika utapata.Pia kwavile unatafuta ajira yoyote unaweza kwenda hata ktk mahoteli ama office zinazo ongozwa na watu binafsi na ukaomba kuonana na uongozi ama HR na ukajielezea shida yako,pengine wanaweza kukuelewa ukaanzia hapo japo mishahara ya ajira ya namna hii inakuwa midogo lakini ndio mwanzo,mana kazi nzuri huja ukiwa ktk kazi na uzoefu.
Thanks. Nice to meet you!The streets a military, u gotta be a soldier. Pigana kijana.
Huu si wakat wa kuchagua chagua shughuli kabisa....we kapige hata JKT uone upepo uko vp....mi mwenyewe hapa nina regrets zangu kibao...ila ndio hivyo kulalama hakusaidii. Haya maisha acha tu.
Ushauri:
Train urself to see opportunities in many many situations u face. At tyms ukisema u play fair kila wakati, utaja kufa masikini.
Acha ujinga hukuwa na ulazima wa kukoment nyumbu we we mtu yupo serious we unafanya utani shuwainjiajiri hata kuokota machupa ya maji ni kazi halali pia.
we ndo mjinga uliyekomenti bila kutoa msaada.Acha ujinga hukuwa na ulazima wa kukoment nyumbu we we mtu yupo serious we unafanya utani shuwain