Natafuta kazi yoyote halali

Natafuta kazi yoyote halali

ALFHA MWITA

Member
Joined
Jun 28, 2025
Posts
83
Reaction score
105
Habari za mda huu wanajukwaa kama mada inavyosema mimi natafuta kazi ama kibarua cha mda mrefu iwe kwa mtu binafsi ama kampuni yoyote ile tujulishane

Cv yangu hii hapa
jinsia-kiume
umri-19 years
mahali nakoishi-tarime mara
elimi-form four
dini-mkristo
 
Mwezi wa 12 toka kwenu njoo njombe viwanda vya parachichi unafika na kwenda viwanda vya parachichi na kubeba kazi.
 
Habari za mda huu wanajukwaa kama mada inavyosema mimi natafuta kazi ama kibarua cha mda mrefu iwe kwa mtu binafsi ama kampuni yoyote ile tujulishane

Cv yangu hii hapa
jinsia-kiume
umri-19 years
mahali nakoishi-tarime mara
elimu-form four
dini-mkristo
Dogo nenda pale Mwanza Capri point kwenye kampuni ya GardaWorld ukaanze na ulinzi wa kufundishwa darasani na vitendo utajiendeleza humo humo kwa kadri utakavyopata kipato. Using'ang'anie kazi zenye hadhi ya uofisa ni ngumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom