KakaDaaa ungekuwa dar........ningekupa shavu la kuja kufundisha wanafunzi WA nusery school.....maana natafuta mwalimu anayeweza kufundisha awali, awe form four au six nitamfundisha kisha atakuwa mwalimu mzuri....au kama yupo mwalimu wabawali inbox au weka namba nitakupigia.
Umeshapata mtu aisee hii fursa naezapata nikajishikiza mkuuDaaa ungekuwa dar........ningekupa shavu la kuja kufundisha wanafunzi WA nusery school.....maana natafuta mwalimu anayeweza kufundisha awali, awe form four au six nitamfundisha kisha atakuwa mwalimu mzuri....au kama yupo mwalimu wabawali inbox au weka namba nitakupigia.