E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 2, 2019 #1 Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 29, elimu yangu ni shahada ya kwanza ya sayansi ya chakula na teknolojia. Naombeni mnisaidie kazi yoyote iliyo halali, sichagui kazi, nipo Dar es salaam. Kwa mawasiliano: 0758 106 501. Ahsanteni sana! Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 29, elimu yangu ni shahada ya kwanza ya sayansi ya chakula na teknolojia. Naombeni mnisaidie kazi yoyote iliyo halali, sichagui kazi, nipo Dar es salaam. Kwa mawasiliano: 0758 106 501. Ahsanteni sana! Sent using Jamii Forums mobile app
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 2, 2019 Thread starter #2 Jamani bado sijapata Sent using Jamii Forums mobile app
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 2, 2019 Thread starter #3 Naombeni mnisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,711 Reaction score 63,396 Mar 2, 2019 #4 Jaribu kufafanua katika fani yako uliyosoma,unaweza kufanya kazi gani inayoonekana.
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 6, 2019 Thread starter #5 Bado sijapata wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 7, 2019 Thread starter #6 Nisaidieni wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,717 Reaction score 3,753 Mar 7, 2019 #7 Unataka kazi ya mshahara kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,385 Reaction score 100,492 Mar 7, 2019 #8 Twende tukalime na kufuga Sent using Jamii Forums mobile app
H Hehe heee JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 210 Reaction score 186 Mar 8, 2019 #9 Kama una 300K nakupa 300K, unafanya tigo pesa partnership | kama utaweza hastle kupata kibanda cha kuanzia free. Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una 300K nakupa 300K, unafanya tigo pesa partnership | kama utaweza hastle kupata kibanda cha kuanzia free. Sent using Jamii Forums mobile app
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 8, 2019 Thread starter #10 youngkato said: Unataka kazi ya mshahara kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wowote ule kuanzia laki nipo tayari mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
youngkato said: Unataka kazi ya mshahara kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wowote ule kuanzia laki nipo tayari mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 8, 2019 Thread starter #11 Bado wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 8, 2019 Thread starter #12 Nisaidieni jamani Sent using Jamii Forums mobile app
miss naire JF-Expert Member Joined Oct 31, 2016 Posts 237 Reaction score 228 Mar 8, 2019 #13 EveningStar said: Nisaidieni jamani Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... duuh mpaka huruma pole na bado unalala ukumbini au umesha hama Sent using Jamii Forums mobile app
EveningStar said: Nisaidieni jamani Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... duuh mpaka huruma pole na bado unalala ukumbini au umesha hama Sent using Jamii Forums mobile app
miss naire JF-Expert Member Joined Oct 31, 2016 Posts 237 Reaction score 228 Mar 8, 2019 #14 jaribu hata makampuni ya simu kuwa freelancer au call centre kama utapata Sent using Jamii Forums mobile app
jaribu hata makampuni ya simu kuwa freelancer au call centre kama utapata Sent using Jamii Forums mobile app
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 8, 2019 Thread starter #15 miss naire said: duuh mpaka huruma pole na bado unalala ukumbini au umesha hama Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bado nalala mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
miss naire said: duuh mpaka huruma pole na bado unalala ukumbini au umesha hama Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bado nalala mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 8, 2019 Thread starter #16 Nasubiria msaada wenu wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
E EveningStar JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 262 Reaction score 162 Mar 9, 2019 Thread starter #17 Msaada jamani Sent using Jamii Forums mobile app
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,050 Mar 9, 2019 #18 EveningStar said: Nasubiria msaada wenu wakuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pole sana Mkuu😟
EveningStar said: Nasubiria msaada wenu wakuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pole sana Mkuu😟