Natafuta kazi yoyote halali

Natafuta kazi yoyote halali

Joined
May 28, 2017
Posts
11
Reaction score
0
Habari zenu na samahani kwa usumbufu najua wengine nitawakera lakini naomba mnisamehe naitwa Oliva ni msichana nina umri wa miaka 22 natafuta kazi yoyote halali naomba msaada wenu kwa hali na mali Kwan nipo katika kipindi kigumu Sana. Asanteni kwa ushirikiano na mungu awabariki Sana.
 
Habar zenu na samahan kwa usumbufu najua wengine nitawakera lakin naomba mnisamehe.naitwa oliva ni msichana nina umri wa miaka 22.natafuta kaz yoyote halali naomba msaada wenu kwa hali na mal Kwan nipo katika kipind kigum Sana. Asanteni kwa ushirikiano na mungu awabarik Sana.
Hujasema uko wapi,
Hujasema una elimu au ujuzi gani na kiwango gani,
Hujasema umewahi kufanya shughuli gani au unaweza kufanya shughuli gani,
Haya endelea kusubiri hiyo kazi yoyote unayoitaka.
 
Hujasema uko wapi,
Hujasema una elimu au ujuzi gani na kiwango gani,
Hujasema umewahi kufanya shughuli gani au unaweza kufanya shughuli gani,
Haya endelea kusubiri hiyo kazi yoyote unayoitaka.
Nipo tabata nina elimu ya kidato change nne nina uzoefu na kaz za madukan upishi na usafi pia
 
Habar zenu na samahan kwa usumbufu najua wengine nitawakera lakin naomba mnisamehe.naitwa oliva ni msichana nina umri wa miaka 22.natafuta kaz yoyote halali naomba msaada wenu kwa hali na mal Kwan nipo katika kipind kigum Sana. Asanteni kwa ushirikiano na mungu awabarik Sana.
Mungu akusaidie upate kazi

Ila jiandae na manyang'au watakaokuja huko PM na kutaka mambo mengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom