mkongwalucy@gmail.comweka hata e-mail kwa ajili ya mawasiliano
Kama Una ufahamu mzuri wa kiingereza,nikuujganishe na Online data entry jobshttps://www.jamiiforums.com/index.php?posts/16762871
Natafuta kazi yoyote halali
Mkuu na mimi naomba niunganishe kama kuna uwezekano....Kama Una ufahamu mzuri wa kiingereza,nikuujganishe na Online data entry jobs
Kama ushachukua futa hiyo coment yenye no yanguSawa
umeshndwaje kwenda PM au wewe tapeli unataka kumhujumu mtoto wawatuDuka la nguo nichek 0755957515 haraka nafuta no hii isiwe mtandaoni
Kwa kweli ajira ni sheedah ila usikate tamaa Mungu yupoOkay kila la kheri upate kaz ya halali....
ni shida kwakuwa mnachagua kaziKwa kweli ajira ni sheedah ila usikate tamaa Mungu yupo
Mungu atusaidieni shida kwakuwa mnachagua kazi
Kwa umri wako huo kuwa makini sana maana kuna mapapa upanga humu...Mimi ni binti wa miaka 20, naishi tabata dar es salaam....elimu ya ngu ni kidato cha nne,.natafuta kazi yoyote itakayoweza kunipa kipato.. ninajua kutumia computer ( Word, Exel, power point, publisher and Internet) nlisoma DIT(Dar es laam Institute of Technology) lwa yeyote anaewwza kunsaidia kupata kaz npo tayar kufanya kazi yoyote
natanguliza shukran zang za dhat na mungu awabariki