Natafuta kazi yoyote halali ndani ya mkoa wa Tanga

Atwoki

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
622
280
Wakuu habari zenu, mimi ni kijana wa miaka 24, muaminifu. Naishi mkoa wa Tanga kwa aliye na connections na kazi yoyote halali tuwasiliane pm niko tayari, ili tulisongeshe gurudumu hili la maisha.
 
Imagine ungekua umeandika cv yako ipo hivi unazani kuna mtu angejisumbua hata kuendelea kuisoma? Ingepelekwa kufungia mihogo mitaani
 
Karibu Korogwe sokoni hapa Manundu uwe unakuja nikuuzie iriki kwa bei nafuu pamoja na bidhaa nyingine za kilimo, halafu unaenda kuwauzia kwa bei iliyochangamka huko nyumbani kwenu mikanjuni.

Hakika hutokufa njaa!
 
Wakuu habari zenu, mimi ni kijana wa miaka 24, muaminifu. Naishi mkoa wa Tanga kwa aliye na connections na kazi yoyote halali tuwasiliane pm niko tayari, ili tulisongeshe gurudumu hili la maisha.
Mkuu siku nyingine ukiomba kazi jitahidi uelezwe elimu yako au ujuzi ulionao, kama huna chochote pia useme ili mtu ajue ni aina gani ya kazi anaweza kukupatia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom