upo chuo lakn kujieleza hujui, kwenye title umesema unataka kaz yeyote afu maelezo yako unasema unataka kupka, ckuelewi
Kama unaweza kumsaidia huyo dada msaidie badala ya kuanza kuhoji umri wake maana umri ni namba tu mkuu.Mmh! Mpendwa, una umri gani sasa?? Maana kwenye uzi huu umeandika miaka 28, kuna uzi mwingine umeandika miaka 26.
Binti mambo natafuta mchumba upo tayari
MIMI NI BINTi MWENYE UMRI WA MIAKA 28 NI MWANACHUO
NATAFUTA KAZI YEYOTE AMBAYO ITANIINGIZIA KIPATO NITAKACHO KITUMIA KWA NAULI, STATIONARIES NA CHAKULA NATOKA CHUO SAA 6 MCHANA BAADA YA HAPO NAKUA FREE MIMI NI MPISHI MZURI SANA NA MWEPESI WA KIJIFUNZA PIA NAWEZA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UAMINIFU WA HALI YA JUU
KWA YEYOTE ANAE HITAJI MTU WA KUMSAIDIA HOTELINI, NYUMBANI,MAKAZINI AU KAMA KUNA MTU ANAHITAJI MFANYAKAZI NIKO TAYARI.
NASHUKURU.:wave:

Kazi Ipo Sea Cliff Hotel Kama Utakuwa Tayar 2wacliane...
To mwanachuo,I can offer you something,ila next time sio vizuri sana ukaandika yoyote,watu wata take advantage of you.Call me at 0659143784.