Salamu zenu ndugu zangu, mwenzenu kwa kweli nimefika mwisho na hii ishu nzima ya kusaka ajira, sioni dalili ya kupata, imefikia ndani hadi nimeishiwa na chakula, watoto wanalala njaa, nguo zimewaruka viatu ndo wanamalizia pea ya mwisho . Jamani kama single mama mwenye uchungu na hofu ya watoto kulala njaa nisaidieni na kibarua chochote kile niweze kufanya na kulipwa kwa siku maana maji yamenifika shingoni, nimekopa nimeomba hadi ndugu wananipiga chenga. Mwenzenu nisaidieni na kibarua ama kazi yeyote ile ilimradi isiwe ya kuuza maungo. Am serious. Natanguliza shukraan.
MAWASILIANO: 0655042717
ELIMU: Form 6, Diploma In Travel and Tour Operations
MAWASILIANO: 0655042717
ELIMU: Form 6, Diploma In Travel and Tour Operations