Natafuta kazi yeyote iliyo halali

Natafuta kazi yeyote iliyo halali

zeboyee 2

Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
17
Reaction score
4
Elimu yangu form four
Ujuzi editing vdeo na uwezo pia kufanya kazi za secretary na kufanya kazi zote zilizo hali kwakujituma hua ninakampuni nafanya nao kazi kama data clerk tatizo ni ajira za mda mfupi alietayari anitafute natamani niasonge mbele kusoma ila batimbaya nategeemewa
 
Elimu yangu form four Ujuzi editing vdeo na uwezo pia kufanya kazi za secretary na kufanya kazi zote zilizo hali kwakujituma hua ninakampuni nafanya nao kazi kama data clerk tatizo ni ajira za mda mfupi alietayari anitafute 0782 168 391
Form four utahangaika sana kimaisha.Ushauri wangu soma zaidi.Kujua vitu kijanja janja iwe ku-edit video au usecretary bila kusomea hakukusaidii sana.Maisha ya ujanja ujanja hayadumu.Kasome zaidi ya hiyp form four
 
Elimu yangu form four
Ujuzi editing vdeo na uwezo pia kufanya kazi za secretary na kufanya kazi zote zilizo hali kwakujituma hua ninakampuni nafanya nao kazi kama data clerk tatizo ni ajira za mda mfupi alietayari anitafute natamani niasonge mbele kusoma ila batimbaya nategeemewa
Hakikidha unanitafuta 0768577654
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom