Wengine ni matapeli hawatafuti kazi![]()
kwani picha ndio inatafuta Kazi??
Sasa hata ukiona picha yake ndo utajua utapeli wake au ukweli wake hebu kama hatuna vitu za kuchangia kwenye uzi wa mtu muda mwingine tukae kimya bhana haipendeziWengine ni matapeli hawatafuti kazi
We Kama naniSasa hata ukiona picha yake ndo utajua utapeli wake au ukweli wake hebu kama hatuna vitu za kuchangia kwenye uzi wa mtu muda mwingine tukae kimya bhana haipendezi
Yah coz naendelea na masomo
Baba yakoWe Kama nani
Habari zenu wakuu..
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22.. Ninaye ishi Mbeya mjini.. Elimu yangu ni diploma ya procurement and logistics.. Ila natafuta Kazi yoyote halali ya kuniingizia kipato hapa Mbeya mjini
Mawasiliano 0745468287
Asanteni![]()
Dear hii namba yako ya simu naruhusiwa kuitumia kwa mambo mengine,yale mambo yetu yale?
Dear acha hizo!!.....Mimi naomba niitumie kwenye mambo yetu yale please!Inatumika kwa taarifa ya wapi naweza /nimepata Kazi basii
