saidi kalindura
Member
- Jan 26, 2015
- 41
- 13
Ndg wanajamii wenzangu naleta maombi kweni yeyote mwenye taarifa sehemu kuna nafasi kazi za dereva naomba anijuze tafadhali.Nna grade ONE na Two ya driving kutoka NIT pia elimu ya computer kutoka UDSM computing centre.na elimu ya kidato cha nne.Nna uzoefu wa miaka saba bila kusababisha ajari.mawasiliano Email.saidikalindura@yahoo.com
Juu yao mwenye gari sio?ukikubali hesabu ya elf 30 kwa siku kwa week laki 2 service juu yao njoo pm niku connect sehemu
Poa kaka nipo tayari kufanya kazi niunganishe tu na hao jamaa namba zangu ndo hizo juu.ukikubali hesabu ya elf 30 kwa siku kwa week laki 2 service juu yao njoo pm niku connect sehemu
Utaamuuwa mwenzio wukikubali hesabu ya elf 30 kwa siku kwa week laki 2 service juu yao njoo pm niku connect sehemu
Poa kaka nipo tayari kufanya kazi niunganishe tu na hao jamaa namba zangu ndo hizo juu.
Sasa mama unategemea atafanyaje?Mkuu usikimbilie tu kwa kuwa una uhitaji hiyo hesabu sio kitoto kwa hali ya magu
Uko sawa kabisa mkuu maana usawa huu kukaa bila kazi ni mtihani mkubwa mwanzo mgumu lakini naamini ukiwa na kazi kupata kazi nyingine lahisi.Sasa mama unategemea atafanyaje?
Sometimes mtu inabidi ukubaliane na hali tu maana huna LA kufanya
Ni bora apate hyo elfu 20 kwa siku kuliko siku ipite hivi hivi
Uber hesabu huwa ni Tsh ngapi Kwa siku au Kwa week, nijibu km hutojaliUko sawa kabisa mkuu maana usawa huu kukaa bila kazi ni mtihani mkubwa mwanzo mgumu lakini naamini ukiwa na kazi kupata kazi nyingine lahisi.
Kweli kabisa mzee.Uko sawa kabisa mkuu maana usawa huu kukaa bila kazi ni mtihani mkubwa mwanzo mgumu lakini naamini ukiwa na kazi kupata kazi nyingine lahisi.