Natafuta kazi ya Utangazaji na uandishi wa habari

salum kim

Member
Oct 14, 2015
22
3
Dada'angu anatafuta kazi katika redio yoyote hapa dar, ana stashahada ya fani hiyo. Anatafuta kwa hapa Dar yupo tayari kujitolea kwa muda.
 
Nakushauri mwambie asipoteze muda wake kuhangaika kutafuta Kazi hapa Dar hata za kujitolea wakati Mikoani kuna Redio nyingi zinahangaika kutafuta Wafanyakazi ( Watangazaji / Waandishi ) lakini hawawapati na badala yake mmiliki wa Redio asiye hata tu na a,b,c's za Journalism anaamua tu kutangaza yeye, mkewe na watoto zake. Mwambie ajaribu Redio Abood Morogoro au ABM ya Abdallah Majura Mkoani Dodoma au ya Tom Chilala iliyopo Mkoani Mbeya au ile ya Mtwara ya Bruda Mpokasye aliyekuwa Mkufunzi mahiri chuo cha Habari cha DSJ au ya Mzee Rage ya Mkoani Tabora. Akijaribu za Mikoani atapata Kazi sasa hivi lakini akitegemea za hapa Dar atasubiri mno na kuishia tu " kulalwa " na kudanganywa.
 
fact kuna dada mmoja alihangaika sana kila akienda kuomba kazi anatakiwa atoe penz yaaan shida tupu
 
Nimo humo kwahiyo najua tabia zetu hivyo nimemtahadharisha mapema ili baadae asije kujuta yeye na wanafamilia wake!
 
Kama anataka Dar, tu ajiandae, kupereka maombi bila kuvaa chupi atapata ila akivaa chupi hapati, tena Dar anatafunwa na watangazaji kwanza, we wnatafuna wano omba filied nini wewe unae omba kazi? vua chupi, upate kazi na ukimwi juu, ndani ya mwaka kifo hicho kazi, cheti na mwili vyote kaburini.
 
Michango yenu mingi ina ukakakasi,

Kama anataka kuendelea kuishi dar huku akifanyakazi, anaweza kuomba kuwa reporter wa redio za mikoani, inaweza kuwa michezo, kusoma magazeti au kukusanya habari na kuziripoti.

All the best
 
sio ukakasi ndo hali alisi mkuu kwenye media, mi nakumbuka wakati nipo chuo niliendaa kuomba filied nikiwa na wadada watatu wte walitafunwa, kuanziapo mi skwenda tena na filied mpaka namaliza chuo sjawai fanya electronic media yani kuna mafilauni vianaya nyie mnawaona kwenye runinga mnadhani wa maana? mpreke dadako ukaone kama unaona ukakasi wamaneno, sasa ukaone ukakasi wa vitendo.
 
Back
Top Bottom