Shemtibuko
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 728
- 1,014
Salaam wakuu.
Natafuta kazi ya usiku, ikianzia saa 3 usiku mpaka sa 1 asubuhi itakua vizuri.
Nina uzoefu wa miaka 2 na nusu kwenye nyanja ya usafirishaji.
Kampuni ikiwa based Kurasini au Bandarini itakua vizuri zaidi.
Kwa nini nimechagua usiku?
Kwa sababu kazi niliyo nayo kwa sasa naingia kazini siku 4 na kupumzika tatu kwa week. Na hizo nne naingia kuanzia sa 4 asubuhi kutoka sa 1 usiku, hivyo nakua na muda mwingi wa kufanya mambo mengine.
Nawasilisha.