Natafuta kazi ya Usecretary au Data Entry

dorothea lucas

New Member
Apr 27, 2021
2
1
HABARI WANA JF,

Natafuta kazi ya secretary au data entry nina uzoefu wa kazi izo nilishawahi kuwa secretary mahali na kuwa data entry katika hosptal kwa kuingiza fomu za bima.

Elimu yangu nina diploma ya records management mwenye kampuni au connection naomba msaada wapendwa.
 
Jaribu kuomba ded Moro walitangaza nafas nne za record, jaribu bahat yako.
 
HABARI WANA JF,

Natafuta kazi ya secretary au data entry nina uzoefu wa kazi izo nilishawahi kuwa secretary mahali na kuwa data entry katika hosptal kwa kuingiza fomu za bima.

Elimu yangu nina diploma ya records management mwenye kampuni au connection naomba msaada wapendwa.
KAZI YA STATIONARY
TO APPLY send your CV and app letter –mitcomputingtz@gmail.com OR via whatsap-0717157640
 
HABARI WANA JF,

Natafuta kazi ya secretary au data entry nina uzoefu wa kazi izo nilishawahi kuwa secretary mahali na kuwa data entry katika hosptal kwa kuingiza fomu za bima.

Elimu yangu nina diploma ya records management mwenye kampuni au connection naomba msaada wapendwa.
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Back
Top Bottom