Natafuta kazi ya usafi

Natafuta kazi ya usafi

Joined
May 12, 2018
Posts
57
Reaction score
53
Habari nahitaji kazi ya kufanya usafi popote(nyumbani,shuleni,hotelini,ofisini au restaurant na kwingineko) ninauzoefu wa mwaka mmoja naishi Dar es salaam.
 
Kama huna cha kupost c utulie jaman, sasa ni mambo gan haya? Mnaboa bna
 
Kama huna cha kupost c utulie jaman, sasa ni mambo gan haya? Mnaboa bna
Hili jibu lako linaumiza sana, mwombe Mungu akupe maarifa na busara zaid sana tubu kwa hili
What goes around comes around
Time will tell
 
Huwezi kutafutia kazi ya kufagia hapa JF ni uongo.
Tena nasisitiza kama bando lako linakaribia kuisha ni bora udownload ngono ufurahishe nafsi, co mnatujazia saver tu hapa
Kwa hyo wale wasiokua na vyeti vya kutafuta kazi kama yako, wanatakiwa kuandika wap ??? Aseee ur very stupid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom