Natafuta kazi ya upigaji picha

Ramos Gerald

Member
May 30, 2017
44
44
Me ni kijana wa miaka 21 mkazi wa Dar es salaam natafuta kazi ya upigaji picha na nyingine zinazo husiana na camera.

Shukrani
 
Habari yako Mkuu ungejieleza zaidi ingekuwa rahisi zaidi watu kukusaidia: mfano
1.Ungeweka picha ulizowahi kupiga
2.Ungeeleza unaweza kutumia programu zipi kuediti picha. N.k
 
Me ni kijana wa miaka 21 mkazi wa Dar es salaam natafuta kazi ya upigaji picha na nyingine zinazo husiana na camera.

Shukrani
Mkuu thread za kuomba fursa kama hizo nilitegemea kuona portfolio zako za kutosha tu humu na maelezo yanayojitosheleza ili kuona uwezo wako kwenye hiyo field. Kujielezea humu huwezi j utaweza kuongea na object (mtu unayempiga picha labda) ili kumwambia angle gani nzuri akae etc.
Ni muhimu useme uwezo wako wa kutumia software mbali mbali za processing Photo & Video etc, atleast weka kitu kitakachom-convice msoma uzi mwenye uwezo wa kukuchukua atakuchua sasa we unaweka vimaelezo viwili tu. Good idea ila jipange kwa upya weka vivid example ambazo mtu akiona anakwambia njoo PM au anatoa number.
 
Me ni kijana wa miaka 21 mkazi wa Dar es salaam natafuta kazi ya upigaji picha na nyingine zinazo husiana na camera.

Shukrani

Kijana hebu jiuze basi watu tujue weledi wako kwenye hilo eneo la upigaji picha...watu wasikukatishe tamaa hiyo ni kazi nzuri sana kama unaimudu na kuifanya kwa mapenzi..kina michuzi wametokea huko..tena wametokea mtaani kbs na vi camera vyao vidogo..hope utakuja kivingine
 
Back
Top Bottom