Natafuta Kazi ya Ulinzi

Natafuta Kazi ya Ulinzi

tsaqwa

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
50
Reaction score
5
jamani natafuta kazi ya ulinzi katika kampuni ya kk security.... kwa anayefahamu vigezo naomba anisaidie...... binafsi nina elimu ya form 6...2012.......npo arusha
 
kama ungekua dar kaka ungenda headquarters bz wanaajiri kila bada ya 2 weeks ila kwa a town sijui kama wanaajiri sana......,.waibukie dar sema wanalipa vizuri kama ukipata lindo zuri au eneo zuri unaweza pata dili lingne la maana ....nlishafanya nao be4 sijaajiriwa gvt.....sema nliona kama wanannyanyasa bz elim yangu ilikua kubwa nlkua natega sana ila walikua wagumu kunifkuza hadi nkajifukuzisha mwenyewe
 
poa jamaangu..... nashukuru sana...... vp kuhusu namna ya kuapply mfono barua, vyeti nk..... vigezo vya kujiunga..... bt kuna jamaa kaniambia kuwa uwe na mafunzo ya mgambo.....kuna ukweli hapo?
 
mwongo huyo tena wewe mwenye elimu ukienda ni mara 1 tu unaingia......na unatakiwa leaving ya 6, cheti cha kuzaliwa, barua ya maombi, barua toka serikali ya mtaa ya kukutambulisha, barua 2 za wadhamini...
 
ahsante sana........ntajaribu
 
jamani natafuta kazi ya ulinzi katika kampuni ya kk security.... kwa anayefahamu vigezo naomba anisaidie...... binafsi nina elimu ya form 6...2012.......npo arusha

Jaribu kuwa mpekuzi kwenye hizi threads za JF kuna chance nyingi, mfano HAPA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom