Natafuta kazi ya ulinzi

Natafuta kazi ya ulinzi

Azubah

Member
Joined
Aug 5, 2018
Posts
21
Reaction score
8
Habari za asubuhi wadau,

Mimi ni kijana mwenye miaka 25 nayejaribu kupambana ili walau nipate tonge la kila siku. Kwa sasa nipo idle tu sina kazi kwa yeyote ambae ana mchongo wa kazi za ulinzi kindly help!
 
Upo dsm ..?

Unachet Cha form four ?

Unaweza kupata wazamin ?

Kama yote ni yess ,bas kaz ushapata Garda world
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom