Wazee huu uzi upo poa, ngoja na mie nitililikie humu humu!
Kuna mdogo wangu (mtoto wa bamdogo) Ana elimu ya form four pia amesomea ufundi umeme VETA ana grad one. Anatafuta kazi kwa yeyote mwenye kujua au kumsaidia apate kazi, hata alianza kwa temporarily siyo mbaya.
Natanguliza shukrani.