Living kereth
Member
- Feb 7, 2017
- 69
- 55
NdiyoWewe ni wa kike au kiume? Umepitia mafunzo ya ukakamavu
Kumlinda mke wako kwa kweli ni kazi nzuri ila ina changamoto nyingi sana pia kama ni mzuri mashaalah kwa kweli kazi itanishinda muda sio mrefu coz Mimi pia ni rijali mkuuunaweza kunilindia mke wangu?? Mshahara mnono kama utaweza
Kama ukipata kazi na mataama yako hayo basi utarinda wanyama tuKumlinda mke wako kwa kweli ni kazi nzuri ila ina changamoto nyingi sana pia kama ni mzuri mashaalah kwa kweli kazi itanishinda muda sio mrefu coz Mimi pia ni rijali mkuu
Samahani lakini
unaweza kunilindia mke wangu?? Mshahara mnono kama utaweza
Mwanzo nilikuwa nafanya kazi Suma JKT (Tanzania national service Department) kama security guard ...but niliresign kutokana sababu ambazo zipo nje ya uwezo wanguMwanzo mkuu ulikuwa unalindia wapi miaka miwili iliyopita?
Ikiwa ulipitia JKT haina shida ila kama ulikuwa unalinda kwenye makampuni je kilichokutoa huko nini?
Kula anaefanya kazi Fulani anaifanya kwa malengo yake mkuu kwahiyo naamini hakuna kazi za wazee wala za vijana pia huwa sipendi kukumbatia kipengele cha kuutukuza umaskini mkuukazi zawazee kijana ubongo unachemka achana nazo
Nina uzoefu wa kazi ya ulinzi kwa miaka 2 Nina umri miaka 30 elimu yangu Form four ...Nina akili timamu na nina ijua kazi hizi kwa ufasaha nipo kinondoni dar es salaam Tanzania ..mawasiliano
Email: maikonlatonga@gmail.com
Nina umri wa miaka 25 Nina uzoefu na kazi hizi .jinsia yangu ni KE naishi Bunju dar es salaam
Acha kutuletea mambo ya kihuni bwana mdogo...
Mwanaume wewe.. Mwanamke wewe... 25 na 30 wewe....
Kila kitu wewe...
hii mi naweza..unaweza kunilindia mke wangu?? Mshahara mnono kama utaweza
Umemnasa vizur Sana kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Acha kutuletea mambo ya kihuni bwana mdogo...
Mwanaume wewe.. Mwanamke wewe... 25 na 30 wewe....
Kinondoni wewe... Bunju wewe... Kila kitu wewe...