Natafuta kazi ya uigizaji

Natafuta kazi ya uigizaji

Mkuu hebu tupe kipaji chako japo hata clip moja tu ya video ya kuigiza kama umepokea pesa taslimu laki 5 mpesa kimakosa kutoka kwa wakala wa mpesa na ulikuwa unashida ya pesa sana. Sasa tunataka tujue uhalisia wako ukoje hapo.
 
Watafute waigizaji maarufu wakusaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom