Natafuta kazi ya uhasibu

Natafuta kazi ya uhasibu

little hulk

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
1,610
Reaction score
558
Nime graduate mwaka jana na nina matokeo ya kuridhisha pia mwaka jana huohuo nikaonganisha na mitihani ya CPA (T) kwa sasa nasubiria matokeo ya mwisho ya final stage mwezi huu.

Hivyo najaribu kutafuta kazi.

who is interested kunisaidia ani PM.

Asante
 
Wazo: Tupanue wigo wa mapato ya serikali (tax) kila mwenye kitambi utaratibu wa kisheri akilipiee kodi hii itapelekea wananchi wengi kuwa na afya njema.
 
Back
Top Bottom