sawa MkuuEmail your CV via jm292364@gmail.com
Leta mrejeshoHabari wakuu,
Nimeona huu Uzi nimekumbuka mbali sana kwa sababu nilikuwa naandika nikiwa Ghetto sieleweki kabisa!!
Watafutaji msikate Tamaa endeleeni kupambana
Lakini natafuta Mwasibu saizi. Please share your CV Now and will connect
Mkuu kila la kheri, maisha yanahitaji subira, uvumilivu, utekelezaji na malengo.Habari wakuu,