Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 Elimu yangu kidato cha nne na pia nimesoma chuo cha usafirisha (N.I.T) National institute of transport. Ninauzoefu wa miaka saba sasa leseni yangu ina madaraja yote na ninauwezo wa kuendesha gari aina zote. Kwa mwenye nafasi anisaidie