Habari ya majukumu,na hongereni kwa kazi ya ujenzi wa Taifa,mimi ni kijana wa miaka 31,ninatafuta kazi udereva,katika kampuni,taasisi,shirika na hata kwa mtu binafsi,nina driving licence class E(a,b,d&e) na driving certificate,nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu,ni mwenyeji wa maeneo mengi ya jijini Dar es salaam.
Nina uzoefu wa safari ndefu,nimewahi kudrive mpaka nchi za jiran km zambia,congo(DRC) na Zimbabwe.nina elimu ya kidato cha sita,ni computer literate,na ninajua lugha za kiswahili na kiingereza kwa ufasaha,napatikana Dar es salaam.
kwa simu namba 0715 410909,
jamaa nimempgia,kanambia niende ofisini kwao mbezi beach kesho asubuhi,vp hawasumbui?,na je malipo yao yapo vizuri?Sasa mpigie huyu ni boss wa kampuni ya waturuki wanadeal na kutengeneza milabgo ta vioo wanaigaji dreva juzi aliniambiaa mkikubaliana nae na kazi ukaanza uje unitunie hela ya soda namba zake ni0712092566
Duu,wewe omba tuu usjar wala ususubiru mtu akuruhusu,yeyote atayepata poa tu,unajua ika anayeomba kazi ana viwango na mahtaji yake ya salary,ila ww kwa hayo ma class c yako ungepata serikalin ndo ingekufaa zid,ya ungefkia malengo yako mapema na kuachana na uderva wa kuajiriwa na ungeajiri ww,mbona hatari mi nimeambiwa mbez, beach darajan?,chamsingi kila mtu akomae na maelekezo aliyopewa,then tutajua seriousness yao.Mmh mbona Mimi nimeambiwa kimbiji beach Darajani?