Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

frank dux

Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Habari ya majukumu,na hongereni kwa kazi ya ujenzi wa Taifa,mimi ni kijana wa miaka 31,ninatafuta kazi udereva,katika kampuni,taasisi,shirika na hata kwa mtu binafsi,nina driving licence class E(a,b,d&e) na driving certificate,nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu,ni mwenyeji wa maeneo mengi ya jijini Dar es salaam.

Nina uzoefu wa safari ndefu,nimewahi kudrive mpaka nchi za jiran km zambia,congo(DRC) na Zimbabwe.nina elimu ya kidato cha sita,ni computer literate,na ninajua lugha za kiswahili na kiingereza kwa ufasaha,napatikana Dar es salaam.
kwa simu namba 0715 410909,
 
dereva,mimi ni kijana wa kiume(31)nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu katka tasnia ya udereva,nina driving licence class E(a,b,d,&e) na driving certificate,ninazungumza lugha za kiswahili na kiingereza na kuandika kwa ufasaha,nina elimu ya kidato cha sita,na uwezo wa kutumia computer(computer literate),nipo tayari kufanya kazi.kwenye taasisi,kampuni,shirika au hata kwa mtu binafsi,nina uzoefu wa safari ndefu,kwani nimekua nikisafirisha magari kwenda nchi za jirani km vile,zambia,zimbabwe,malawi na congo(DRC),napatikana dar es salaam kwa namba 0715 410 909,
 
Vipi hyo hailipi? Niunganishe Mimi mkuu Nina class a,a1,b,c,c1,c2,c3,d,e uzoefu miaka 11 Nina miaka 29.
 
Habari ya majukumu,na hongereni kwa kazi ya ujenzi wa Taifa,mimi ni kijana wa miaka 31,ninatafuta kazi udereva,katika kampuni,taasisi,shirika na hata kwa mtu binafsi,nina driving licence class E(a,b,d&e) na driving certificate,nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu,ni mwenyeji wa maeneo mengi ya jijini Dar es salaam.

Nina uzoefu wa safari ndefu,nimewahi kudrive mpaka nchi za jiran km zambia,congo(DRC) na Zimbabwe.nina elimu ya kidato cha sita,ni computer literate,na ninajua lugha za kiswahili na kiingereza kwa ufasaha,napatikana Dar es salaam.
kwa simu namba 0715 410909,

Sasa mpigie huyu ni boss wa kampuni ya waturuki wanadeal na kutengeneza milabgo ta vioo wanaigaji dreva juzi aliniambiaa mkikubaliana nae na kazi ukaanza uje unitunie hela ya soda namba zake ni0712092566
 
jamaa nimempgia,kanambia niende ofisini kwao mbezi beach kesho asubuhi,vp hawasumbui?,na je malipo yao yapo vizuri?
 
Kesho asubuhi wamenambia niende hao waturuki,ka unajua wanalipaje naomba unambie,ili napoongea nao niwe na pakuanzia,je hii nafac ni mpya au dereva alikuwepo akaacha?,km aliacha kwann?
 
Mmh mbona Mimi nimeambiwa kimbiji beach Darajani?
Duu,wewe omba tuu usjar wala ususubiru mtu akuruhusu,yeyote atayepata poa tu,unajua ika anayeomba kazi ana viwango na mahtaji yake ya salary,ila ww kwa hayo ma class c yako ungepata serikalin ndo ingekufaa zid,ya ungefkia malengo yako mapema na kuachana na uderva wa kuajiriwa na ungeajiri ww,mbona hatari mi nimeambiwa mbez, beach darajan?,chamsingi kila mtu akomae na maelekezo aliyopewa,then tutajua seriousness yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom